Wapi naweza pata vibao vya posti kodi bei poa?

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Kwema wadau

Naomba kuuliza ni wapi hapa jijin Dsm naweza pata vile vibao vya posti kodi vilivyo kuwa poa kama vile vya awamu ya kwanza (vile vya enzi ya Mama Tibaijuka)

Maana hapa mtaan kuna wapuuzi wana vibao vyao wana viuza ila ajabu izo namba yaan utazan mtoto wa darasa la kwanza ndio kachora izo namba

Note:
Bei isizidi elufu 5 tu
 
Una utani bei isizidi 5000? Utapata midudedude. Ubora una gharama!
 
Kwema wadau

Naomba kuuliza ni wapi hapa jijin Dsm naweza pata vile vibao vya posti kodi vilivyo kuwa poa kama vile vya awamu ya kwanza (vile vya enzi ya Mama Tibaijuka)

Maana hapa mtaan kuna wapuuzi wana vibao vyao wana viuza ila ajabu izo namba yaan utazan mtoto wa darasa la kwanza ndio kachora izo namba

Note:
Bei isizidi elufu 5 tu
Hiyo ni kazi ya serikali, kuweka vibao sisi kazi yetu kukwata kodi
 
Kuna kampuni ya promotional materials inaitwa Bomei. Ni ya mchina. Google utapata contact na direction
 
Back
Top Bottom