luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Una utani bei isizidi 5000? Utapata midudedude. Ubora una gharama!Kwema wadau
Naomba kuuliza ni wapi hapa jijin Dsm naweza pata vile vibao vya posti kodi vilivyo kuwa poa kama vile vya awamu ya kwanza (vile vya enzi ya Mama Tibaijuka)
Maana hapa mtaan kuna wapuuzi wana vibao vyao wana viuza ila ajabu izo namba yaan utazan mtoto wa darasa la kwanza ndio kachora izo namba
Note:
Bei isizidi elufu 5 tu
Okay,.embu sema basi izo bei za uboraUna utani bei isizidi 5000? Utapata midudedude. Ubora una gharama!
Hiyo ni kazi ya serikali, kuweka vibao sisi kazi yetu kukwata kodiKwema wadau