Wapi naweza pata vibarua vya saidia fundi kwa hapa Dar?

Nasibuhamisi

Member
Joined
Aug 26, 2023
Posts
14
Reaction score
19
Mimi ni kijana wa miaka 23 napatikana Dar maendo ya Mbezi Mwisho, Napenda kuulizia kwa hapa Dar ni wapi naweza pata vibarua vya ujenzi Kama saidia kwenye mradi unaoendela kwa sasa au Kama Kuna fundi anaweza ni push ili maisha yaende
 
Wakati unasikilizia huo mchongo jaribu pia kuzunguka kwenye CAR Wash unaweza ukabahatisha huko. Huku utapata pesa nyingi kidogo na hauta chosha mwili sana.
 
I can feel you bro mwezi wa tisa kuna uwekano wa huu mradi wa kawe city ukaresume so stay tuned ukianza nitafute nitajitajidi kukupambania hapo utakua na uhakika wa miaka miwili hivi

Broski, if you can make room for two, can I please tag along?
 
Kuna wale rafiki zangu hawachagui Kazi hawana Mishe yoyote ukiwapa direction wapi Kazi ilipo wanakwenda kufanya mladi Tu iwe ya Halali

Nna ujumbe wenu hapa

Kama uko dar fika mpaka Gongo la mboto mwisho opposite na chuo cha Kampala ukifika hapo uliza mtu akuelekeze kilipo kiwanda kinaitwa NAMELA

Hiki ni kiwanda cha nguo ndio hatua ya Kwanza kabisa ya uandaaji nguo kama mashuka..khanga..vitenge maduvet n.k ufanyika na Kisha baada ya hapo mzigo upelekwa NIDA pale bara bara ya Mandera kwa ajili ya ukamilishaji kuwa nguo kamili

Kwaiyo kijana yoyoye aliepo around Gongo la mboto Majohe au maeneo anayoweza kufika hapo NAMELA naomba kuanzia kesho asubuhi avae vizuri kwa heshima aweke nywele zake smart ata ukisimama mbele za watu unaonekana mwenye tabia njema sio unaenda kuomba Kazi umevaa modo uko nusu uchi au umenyoa viduku na unanuka sigara

Ukifika getini muulizie mtu mmoja anaitwa chifu na umwambie umekuja kuomba Kazi yoyote atakae taja jina Hili pale getini huyu mtu atajua Moja kwa Moja umetoka Kwangu so utapewa maelekezo kwa haraka

Kumbuka kubeba kitambulisho cha kupigia Kura au namba ya Nida

Cha kuzingatia unadhifu wako maana mwingine akifika getini anaambiwa hakuna kazi kutokana na alivyokwenda kumbuka kupendeza unapokwenda kuomba Kazi maana wewe ni masikini tuu sio kichaa
 
Hii Bado ipoo brooo?
 
Back
Top Bottom