Don Buyoya
Senior Member
- Jun 13, 2024
- 114
- 363
Asante.Nenda Royal Furnishers, Pugu Road. Niliwahi nunua moja hapo. Ila bei zao ni za kitalii.
Kama sikosei ilikuwa kama 2.5m. Nilinunua 2022.Asante.
Bei zao zinachezea range ipi?
Wapo juu sana, nmepitia website yao naona hata furniture zao hawajalenga sana wabongo.Kama sikosei ilikuwa kama 2.5m. Nilinunua 2022.
Imelenga mafisadi zaidi.Wapo juu sana, nmepitia website yao naona hata furniture zao hawajalenga sana wabongo.
Hapo vitu, bei zimechangamka hatarii.Nenda Royal Furnishers, Pugu Road. Niliwahi nunua moja hapo. Ila bei zao ni za kitalii.
Wakuu poleni na majukumu.
Nahitaji gas grill kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Wengine wanaziita tabletop gas grills.
Nishaulizia sana madukani ila naonyeshwa vitu sio.
Ni jiko maalum la kuchomea nyama na vyakula vingine lakini linatumia gas badala ya mkaa au umeme.
Naombeni mwongozo tafadhali.
Bachela hapa ninaejipenda.
Ndio, japo naona ina hadi jiko la kawaida, mie nataka ile yenye sehemu ya kuchomea tuunahitaji kama hii?
View attachment 3376137
Pia wanauza brands hao, ni kama ukomae kuvaa og za LV au GucciHapo vitu, bei zimechangamka hatarii.
Ni kwa ajiri ya Mafogo labda.
HaswaaaPia wanauza brands hao, ni kama ukomae kuvaa og za LV au Gucci