Wapi naweza soma domestic electricity?

Wapi naweza soma domestic electricity?

Tanye

Senior Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
107
Reaction score
18
Habari za mchana wana jf,msaada nahitaji soma domestic electricity,ila nahitaji kusoma kwa mda mfupi na sehemu ambapo kuna unafuu wa ada,Msaada tafadhari
 
Kama upo Kilimanjaro tuwasiliane mda ni miaka mitatu unapata grade 1, ada ni laki 6 kwa mwaka
 
Habari za mchana wana jf,msaada nahitaji soma domestic electricity,ila nahitaji kusoma kwa mda mfupi na sehemu ambapo kuna unafuu wa ada,Msaada tafadhari

Kama upo hapa dar nenda veta chang'ombe wanatoa na ada zao ni nafuu sanb
 
Back
Top Bottom