Wapi ndama mutoto ya ng'ombe

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Habari JF,

Huyu Jamaa simsikii kabisa na kuna tetesi kafulia,wenye data kamili tujuzeni

Nawasilisha
 
Akifulia halafu?

Watu kwa udaku. Hizi ndizo type za kufungua garbage bag la mtu kuangalia kama kala dagaa au mayai.
 
Nenda Reagency Hotel mida ya saa 2 uck,amejaa tele
 
Akifulia halafu?

Watu kwa udaku. Hizi ndizo type za kufungua garbage bag la mtu kuangalia kama kala dagaa au mayai.

Haaaaaa Kiranga unaendana na jina lako maana una kiranga kweli relax mkuu mbona umekasirika au na wewe ndo wale wale umefulia hapa ndo kama nimekutonesha kidonda pole mwana ndo maisha
 
Haaaaaa Kiranga unaendana na jina lako maana una kiranga kweli relax mkuu mbona umekasirika au na wewe ndo wale wale umefulia hapa ndo kama nimekutonesha kidonda pole mwana ndo maisha
King kong ndugu yangu si Mimi au wewe mpaka manji kuishiwa pesa ni kawaida sana so sioni cha ajabu.
 
Haaaaaa Kiranga unaendana na jina lako maana una kiranga kweli relax mkuu mbona umekasirika au na wewe ndo wale wale umefulia hapa ndo kama nimekutonesha kidonda pole mwana ndo maisha

Hamna kukasirika hapo, labda hujazoea kuwa challenged tu.
 
Kaamua kua msanii kama akina muzamil na papaa msofe. Habari za udalali wa magari lumumba kawaachia akina kizaizai. Jamaa ana swim in dollars
 
hamna cha ndama mtoto wa ngomb'e wala cha kifaranga kitoto cha kuku...
Kama umezoea kudhulumu na wewe utadhulumiwa..
Tena ana bahati angepata yaliyomkuta kama yule waliyempuputisha makorodani china ningefurahi....
Nina hasira na huyu jamaa sana alimtapeli ndugu yangu vijimadini vyake masikini
pumbaaaav
.....
But wait si nilisikia kanunua audi q7 juzi kati??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…