Black Panther X
JF-Expert Member
- Sep 4, 2014
- 230
- 659
Naomba cheki picha hapo. Natafuta Oats kwa kilo (ikiwezekana kilo 5 kwenda juu). Niko Dar ila kama inapatikana katika mikoa mingine hamna neno pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kitu nimeikula sana miaka flani nilipokua nikiishi nchi flani... Nirahisi sana kuiandaa, na ndani ya dakika mbili chakula chako kinakua tayari.Naomba cheki picha hapo. Natafuta Oats kwa kilo (ikiwezekana kilo 5 kwenda juu). Niko Dar. Ila kama inapatikana katika mikoa mingine hamna neno pia.
Ndo kile unaweka maziwa eeee.Hii kitu nimeikula sana miaka flani nilipokua nikiishi nchi flani...
Nirahisi sana kuiandaa, na ndani ya dakika mbili chakula chako kinakua tayari
Ndio mkuu... Maziwa fresh unayachemsha.Ndo kile unaweka maziwa eeee