Wapi ndani ya Dar wanauza Oats (Oti) kwa kilo?

Black Panther X

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2014
Posts
230
Reaction score
659
Naomba cheki picha hapo. Natafuta Oats kwa kilo (ikiwezekana kilo 5 kwenda juu). Niko Dar ila kama inapatikana katika mikoa mingine hamna neno pia.
 
Naomba cheki picha hapo. Natafuta Oats kwa kilo (ikiwezekana kilo 5 kwenda juu). Niko Dar. Ila kama inapatikana katika mikoa mingine hamna neno pia.
Hii kitu nimeikula sana miaka flani nilipokua nikiishi nchi flani... Nirahisi sana kuiandaa, na ndani ya dakika mbili chakula chako kinakua tayari.
 
Hii kitu nimeikula sana miaka flani nilipokua nikiishi nchi flani...
Nirahisi sana kuiandaa, na ndani ya dakika mbili chakula chako kinakua tayari
Ndo kile unaweka maziwa eeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…