kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
Jamani ney ama kweli maanani hakosei.
Nikk ni mjinga sana. Ila mkuu lugha gani [emoji115]
Mkuu hapo umewaacha wengi kwenye mataa lakini sisi wakongwe wa town, viunga vya uswazi tumekupata.Fiesta not reachable, duuuuh.....!!
Kumedia kunsi kukupirika, chanii chikukutile njooomba?
#966# kuduuuu ku mchikioooo pa video mkombe..!
Longa nasi msaani wetu Ney wa mitego, nini kimekukuta? Au ulikuwa kanjanjaa bro ukatulisha matango poli..!?
Nimemis ili ngoma, ITAFAHAMIKA TU.. au unasoma game uje kama KING GK?
Maisha mema brooo, mwenzio nimeshakuwa mganga wa kienyeji. Naamka na kaniki, naenda kwenye kijumba cha kazi aka Msonge.. naagiza kuku na mbuzi kwa sana, siagizi tembele..
Mbona hausomeki mkuu mods toa hii thread vilugha vya wapi hiviFiesta not reachable, duuuuh.....!!
Kumedia kunsi kukupirika, chanii chikukutile njooomba?
#966# kuduuuu ku mchikioooo pa video mkombe..!
Longa nasi msaani wetu Ney wa mitego, nini kimekukuta? Au ulikuwa kanjanjaa bro ukatulisha matango poli..!?
Nimemis ili ngoma, ITAFAHAMIKA TU.. au unasoma game uje kama KING GK?
Maisha mema brooo, mwenzio nimeshakuwa mganga wa kienyeji. Naamka na kaniki, naenda kwenye kijumba cha kazi aka Msonge.. naagiza kuku na mbuzi kwa sana, siagizi tembele..
Kusema ukweli inatia huruma.Mweeeeh kale kautafiti ka 1:4 aiseee hakakukosewa
Nilikuwa naukosoa sana ule utafiti wa 1:4 lakini sasa nimeanza kuuamini.
Mkuu humu tunatumia lugha mbili tu, English au Swahili
punguza Jazba umeamua kuwa Mganga wa kienyeji sasa hasira za nini kwa Ney?
Mbn ney wa mitego yuko sana sema nyimbo zake walizifanyia unafiki
Mbona hausomeki mkuu mods toa hii thread vilugha vya wapi hivi