Wapi niende ili nifanikishe kutumia kipaji changu cha kuigiza kutengeneza kipato?

Wapi niende ili nifanikishe kutumia kipaji changu cha kuigiza kutengeneza kipato?

kiukweLi sanaa ya uigizaji imetetereka iLa jitahd kuwatafuta makundi ya waigizaji wenzio unaweza pata conection uko
 
Kutegemea kipaji kikupatie kipato wakati ndo kwanza unaanza kuchomoza kwenye tasnia hiyo, kuna changamoto zake. Kuigiza ni jambo pana sana, lazima uwe na kipengele maalum utakacho, simama nacho kikakutoa. Mfano, Baraka Magufuli, katoka kwa kuigiza sauti, kiongozi mkubwa. Bado sijaona, msanii anayemwigiza mama Samia, kisawasawa; mbali na wakonge akina JK, comedian. Mwigize, Jokate, au mama Samia, rusha clips zako, mtandaoni, pesa itakufuta, mfanye JOTI awe kilelezo chako cha usanii, pesa itakutafuta, mkuu.
 
Habarini wakuu,

Mimi ni kijana ambae nimebarikiwa kipaji cha kuigiza. Naombeni msaadaa nijue mahala gani nifike ambapo naweza nikaingia kwenye tasnia ya filamu Tanzania rasmi na kutumia kipaji changu icho kutengeneza kipato kwa ajiili ya kuendesha maisha. Nipo Dar.
Naomba Kwanza kujua tu kuwa Je, hicho Kipaji unachosema unacho umekigundua tu Mwenyewe baada ya Kushiba Kiporo chako cha Makande hapo Nyumbani ulipo au Watu ( wanaokuzunguka ) ndiyo wamekiona na Kukuambia kuwa unacho?
 
Anzia Instagram halafu ukipata wafuasi nenda YouTube, kama utakubalika utatafutwa.
 
Habarini wakuu,

Mimi ni kijana ambae nimebarikiwa kipaji cha kuigiza. Naombeni msaadaa nijue mahala gani nifike ambapo naweza nikaingia kwenye tasnia ya filamu Tanzania rasmi na kutumia kipaji changu icho kutengeneza kipato kwa ajiili ya kuendesha maisha. Nipo Dar.
Nitafute nikupe connection
 
Comment yako imekaa kidharau Sana, sio vizuri..
Naomba Kwanza kujua tu kuwa Je, hicho Kipaji unachosema unacho umekigundua tu Mwenyewe baada ya Kushiba Kiporo chako cha Makande hapo Nyumbani ulipo au Watu ( wanaokuzunguka ) ndiyo wamekiona na Kukuambia kuwa unacho?
 
Naomba Kwanza kujua tu kuwa Je, hicho Kipaji unachosema unacho umekigundua tu Mwenyewe baada ya Kushiba Kiporo chako cha Makande hapo Nyumbani ulipo au Watu ( wanaokuzunguka ) ndiyo wamekiona na Kukuambia kuwa unacho?
Swali la msingi sana japo umemuuliza ki-black comedy. Ni kweli. Mtu anaweza kudhani ana kipaji cha kuigiza kumbe hakuna lolote.
 
Nitafute nikupe connection
Wewe una kila dalili za kutaka kumtapeli kwa njia moja au nyingine. Idrissou02 kuwa makini sana hapa. Utapigwa sasa hivi. Kama unadhani una kipaji basi tengeneza clip fupi fupi kwa kujaribu kuigiza vitu mbali mbali uweke Youtube.
 
Back
Top Bottom