Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Naomba Kwanza kujua tu kuwa Je, hicho Kipaji unachosema unacho umekigundua tu Mwenyewe baada ya Kushiba Kiporo chako cha Makande hapo Nyumbani ulipo au Watu ( wanaokuzunguka ) ndiyo wamekiona na Kukuambia kuwa unacho?Habarini wakuu,
Mimi ni kijana ambae nimebarikiwa kipaji cha kuigiza. Naombeni msaadaa nijue mahala gani nifike ambapo naweza nikaingia kwenye tasnia ya filamu Tanzania rasmi na kutumia kipaji changu icho kutengeneza kipato kwa ajiili ya kuendesha maisha. Nipo Dar.
Nitafute nikupe connectionHabarini wakuu,
Mimi ni kijana ambae nimebarikiwa kipaji cha kuigiza. Naombeni msaadaa nijue mahala gani nifike ambapo naweza nikaingia kwenye tasnia ya filamu Tanzania rasmi na kutumia kipaji changu icho kutengeneza kipato kwa ajiili ya kuendesha maisha. Nipo Dar.
Umeua. Kama mkali, tengeza video zako za dakika 1~3 utahit tu.Anzia Instagram halafu ukipata wafuasi nenda YouTube, kama utakubalika utatafutwa.
Naomba Kwanza kujua tu kuwa Je, hicho Kipaji unachosema unacho umekigundua tu Mwenyewe baada ya Kushiba Kiporo chako cha Makande hapo Nyumbani ulipo au Watu ( wanaokuzunguka ) ndiyo wamekiona na Kukuambia kuwa unacho?
Swali la msingi sana japo umemuuliza ki-black comedy. Ni kweli. Mtu anaweza kudhani ana kipaji cha kuigiza kumbe hakuna lolote.Naomba Kwanza kujua tu kuwa Je, hicho Kipaji unachosema unacho umekigundua tu Mwenyewe baada ya Kushiba Kiporo chako cha Makande hapo Nyumbani ulipo au Watu ( wanaokuzunguka ) ndiyo wamekiona na Kukuambia kuwa unacho?
Wewe una kila dalili za kutaka kumtapeli kwa njia moja au nyingine. Idrissou02 kuwa makini sana hapa. Utapigwa sasa hivi. Kama unadhani una kipaji basi tengeneza clip fupi fupi kwa kujaribu kuigiza vitu mbali mbali uweke Youtube.Nitafute nikupe connection
HeheeWewe una kila dalili za kutaka kumtapeli kwa njia moja au nyingine. Idrissou02 kuwa makini sana hapa. Utapigwa sasa hivi. Kama unadhani una kipaji basi tengeneza clip fupi fupi kwa kujaribu kuigiza vitu mbali mbali uweke Youtube.