Natafuta chuo cha unesi diploma eneo la dar es salaam.Tayari nina certificate ya unesi kwa hiyo kwa sasa natafuta chuo cha kujiendeleza kwa diploma maeneo ya dar!Kwa mwenye kujua chuo chochote kinachotoa kozi tajwa kwa level ya diploma basi anisaidie kunipa taarifa!
Natanguliza shukrani zangu kwa msaada wako!!
Natanguliza shukrani zangu kwa msaada wako!!