Wapi ninaweza kupata mashine za kushona na kutengeneza viatu?

Wapi ninaweza kupata mashine za kushona na kutengeneza viatu?

shabiki

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
965
Reaction score
896
Swali hapo juu linahusika wakuu.wapi nnaweza kupata hizi mashine hapa tanzania? nakusudia kuanza hii kazi, lakini nashindwa kuelewa wapi nnaweza kuzipata hapa nchini kama zipo.
Natanguliza shukrani wakuu.
 
Idea Yako Sio Ngeni Nenda Kajifunze Kwa Waliokutangulia Itakusaidia Kwa Mengi
 
Moshi-Kilimanjaro utazipata mana kule zimejaa sana. Ukifika town ulizia sehemu wanazoshona viatu kwa mashine lazima utapata data kamili.
 
Swali hapo juu linahusika wakuu.wapi nnaweza kupata hizi mashine hapa tanzania? nakusudia kuanza hii kazi, lakini nashindwa kuelewa wapi nnaweza kuzipata hapa nchini kama zipo.
Natanguliza shukrani wakuu.
Wewe ni fundi viatu?
 
Back
Top Bottom