Wapi NIpate Chancho ya DTP na Meningitis

Wapi NIpate Chancho ya DTP na Meningitis

Utingo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
10,266
Reaction score
8,085
Wakuu wapi naweza kupata chanyo ya hii DTP na Meningitis kwa hapa dar?
 
Nenda kamuone professor matee au professor lyamuya pale muhimbili university hao ndiyo wakuu wa chanjo (vaccine) hp tz .
 
Nenda kamuone professor matee au professor lyamuya pale muhimbili university hao ndiyo wakuu wa chanjo (vaccine) hp tz .

Asante mkuu, niulize department gani?
 
Wakuu wapi naweza kupata chanyo ya hii DTP na Meningitis kwa hapa dar?

aaaaah kaka unaniangusha bana? chanyo aka chancho au CHANJO...? salaama lakini ..Nenda pale sinza palestine
 
Diptheria Pertuisis Tetenus ni chanjo ambazo watoto wooote wanapatiwa mara 3 MCH Clinc.

Maningitis utaipata Amtulbai Vaccination centre kama upo Dar. GOOD LUCK.
 
Back
Top Bottom