AfroMonster
Member
- Jun 7, 2018
- 68
- 78
Moro sehemu gani mkuukama upo morogoro ni sehemu sahihi ya kwenda, unaweza kupata mbeguna utaalamu wa namna ya kuziotesha maana uoteshaji wa baadhi ya mbegu una changamoto kwenye kuziandaa
Wanapatikana mbele ya Kihonda kama waelekea Dodoma pembeni ya barabara kuu ya Dodoma. Wanaitwa Tanzania Tree Seed Agency (TTSA).Moro sehemu gani mkuu
Asante ndgWanapatikana mbele ya Kihonda kama waelekea Dodoma pembeni ya barabara kuu ya Dodoma. Wanaitwa Tanzania Tree Seed Agency (TTSA).
Uko wapiHeshima kwenu wakuu, nalenga kuotesha miche ya mipaina(pines) ili kupunguza gharama za kununua miche iliyooteshwa. Lakini sina uelewa wa kutosha wapi nipate mbegu bora ikiwezekana za kisasa. Nishasikia kuhusu kwenda ofisi za wakala wa misitu lakini bado sijapata ushauri wa kuniwezesha kuchukua maamuzi sahihi.
Naomba ushauri wenuView attachment 1118733
Kuna NGO moja pale Iringa ni marafiki zangu wana mbegu hizo. Kama uko serious sema nikupe simu zao, utawambia Malila kanipa simu yenu, watakupa maana ndo biashara yao.Heshima kwenu wakuu, nalenga kuotesha miche ya mipaina(pines) ili kupunguza gharama za kununua miche iliyooteshwa. Lakini sina uelewa wa kutosha wapi nipate mbegu bora ikiwezekana za kisasa. Nishasikia kuhusu kwenda ofisi za wakala wa misitu lakini bado sijapata ushauri wa kuniwezesha kuchukua maamuzi sahihi.
Naomba ushauri wenuView attachment 1118733
Malila kumbe bado upo? Kilimo kinaendeleaje?Kuna NGO moja pale Iringa ni marafiki zangu wana mbegu hizo. Kama uko serious sema nikupe simu zao, utawambia Malila kanipa simu yenu, watakupa maana ndo biashara yao.
Niko serious mkuu, pia kama una tetesi kuhusu bei unaweza kunipatia taarifa za awali kabla sijawacheki,,,Kuna NGO moja pale Iringa ni marafiki zangu wana mbegu hizo. Kama uko serious sema nikupe simu zao, utawambia Malila kanipa simu yenu, watakupa maana ndo biashara yao.
Bado nipo sana hapa. Kilimo kinaendelea hata kama kuna changamoto za kisera. Bado nakimbiza kilimo cha miti.Malila kumbe bado upo? Kilimo kinaendeleaje?
Bei ya kilo moja ilikuwa 1,200,000/ huko nyuma ya pinus patula, pines hutofautiana kulingana na altitude. Hapa inabidi uwaulize TTSA wakupe jamii sahihi.Niko serious mkuu, pia kama una tetesi kuhusu bei unaweza kunipatia taarifa za awali kabla sijawacheki,,,
lakin swali... sina hakika kama pine inayostawi Iringa inafaa Kagera, nasikia kuna tofauti ya aina(species)
Shukrani
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sawa,Bei ya kilo moja ilikuwa 1,200,000/ huko nyuma ya pinus patula, pines hutofautiana kulingana na altitude. Hapa inabidi uwaulize TTSA wakupe jamii sahihi.
Nakupa simu ya hao jamaa wa mbegu, pia simu ya mtu wa TTSA, nipe simu yako nikupe mawasiliano fasta.Sawa,
1. Mbona nahisi kama 1kg itakuwa nyingi sana kwa mahitaji yangu ya kupanda ekari 2 kwa sasa, maana nashindwa kukadiria naweza pata kati ya miche kiasi gani kutoka kwenye hiyo kg 1.
2. TTSA kuna namna ya kuwapata tofauti na kufika ofisini kwao Morogoro?
Nakupa simu ya hao jamaa wa mbegu, pia simu ya mtu wa TTSA, nipe simu yako nikupe mawasiliano fasta.
Hapo Malila unamaanisha mbegu.zilizomo kwenye kilo au bei?Bei ya kilo moja ilikuwa 1,200,000/ huko nyuma ya pinus patula, pines hutofautiana kulingana na altitude. Hapa inabidi uwaulize TTSA wakupe jamii sahihi.
BeiHapo Malila unamaanisha mbegu.zilizomo kwenye kilo au bei?
Ekari 2 unahitaji miche 800 tu, hivyo Nashauri ununue miche tuSawa,
1. Mbona nahisi kama 1kg itakuwa nyingi sana kwa mahitaji yangu ya kupanda ekari 2 kwa sasa, maana nashindwa kukadiria naweza pata kati ya miche kiasi gani kutoka kwenye hiyo kg 1.
2. TTSA kuna namna ya kuwapata tofauti na kufika ofisini kwao Morogoro?
Kagera upande Pinus caribaeaNiko serious mkuu, pia kama una tetesi kuhusu bei unaweza kunipatia taarifa za awali kabla sijawacheki,,,
lakin swali... sina hakika kama pine inayostawi Iringa inafaa Kagera, nasikia kuna tofauti ya aina(species)
Shukrani
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hata mimi nahitaji kwa ngara aseeKama upo kanda ya ziwa tuwasiliane kuna mbegu nzuri kutoka Buhindi forest, ndugu ndo muuzaji na wateja wake ni kutoka Bukoba na Muleba