ebu wasiliana na Ahmednejad wa Iran au pale India jamaa wanahitaji hiyo kitu haraka na wanalipa vizuri. Mi nawafahamu jamaa wanaofanya nao biashara hiii ya Uranium nk.
Mimi nahitaji kiasi kidogo kama 30g hivi,nataka kufundishia wanafunzi wangu wa PHYSICS kwenye topic ya RADIOACTIVITY.Nakuomba uifunge vizuri maana ni hatari sana.