Pierre2017
Member
- Apr 16, 2019
- 48
- 28
Ili uwe Mteja wa jumla inatakiwa ununue za kuanzia shilingi ngapi?Kwa Voda....tembelea Vodashop msimbazi...iko nyuma ya kituo cha mwendokasi msimbazi.
Vocha za 500 utauziwa kwa 470 za 1000 kwa 940 za 2000 kwa 1880 za 5000 kwa 4700.
Kila la kheri mkuu.
Kwa Voda....tembelea Vodashop Msimbazi...iko nyuma ya kituo cha mwendokasi msimbazi. Vocha za 500 utauziwa kwa 470 za 1000 kwa 940 za 2000 kwa 1880 za 5000 kwa 4700. Kila la kheri mkuu.
475. 950. 1900. 4750Nkinunua kwa bei hyo nauzaje!?
Wanauza kwanzia pisi ngapii?Kwa Voda....tembelea Vodashop Msimbazi...iko nyuma ya kituo cha mwendokasi msimbazi. Vocha za 500 utauziwa kwa 470 za 1000 kwa 940 za 2000 kwa 1880 za 5000 kwa 4700. Kila la kheri mkuu.
Ili uwe Mteja wa jumla inatakiwa ununue za kuanzia shilingi ngapi?
Kuanzia 10 mkuuIli uwe Mteja wa jumla inatakiwa ununue za kuanzia shilingi ngapi
10 mkuu.Wanauza kwanzia
Hela yako tu, hawana limitWanauza kwanzia pisi ngapii?
475. 950. 1900. 4750