K K.Msese JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 2,386 Reaction score 3,024 Dec 2, 2015 #1 Wadau heshima kwenu! Nauliza, ntapata wapi Polyurethene Liquid kwa ajili ya kutengenezea mold? Navyofahamu zinakuwa aina mbili za vimiminika ambavuo baadaye vitaganda baada ya kuvichanganya kwenye shape unayoitaka! Shukrani!
Wadau heshima kwenu! Nauliza, ntapata wapi Polyurethene Liquid kwa ajili ya kutengenezea mold? Navyofahamu zinakuwa aina mbili za vimiminika ambavuo baadaye vitaganda baada ya kuvichanganya kwenye shape unayoitaka! Shukrani!