Tony-stark
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 1,020
- 1,348
Thanks chief, nitapitia hapo mlimani city, ila vipi huko maeneo ya kariakoo.mlimani city zipo sema bei zao ni pasua kichwa
pia Mo anazileta tembelea maduka yake kwa TCL ama LG
website ya lg wanarecomend hawaThanks chief, nitapitia hapo mlimani city, ila vipi huko maeneo ya kariakoo.
Thank you chief, nitawatafuta.website ya lg wanarecomend hawa
View attachment 1342596