Quinton Canosa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 1,224 Reaction score 1,250 Jan 24, 2023 #1 Habari wanajamii forums, Nilikuwa nahitaji site ambayo naweaa kupatq album za Mr II A.K.A Sugu maana YouTube sipati nyimbo zote. Kwa yeyote mwenye album zake naomba anisaidie. Asante.
Habari wanajamii forums, Nilikuwa nahitaji site ambayo naweaa kupatq album za Mr II A.K.A Sugu maana YouTube sipati nyimbo zote. Kwa yeyote mwenye album zake naomba anisaidie. Asante.
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 Jan 24, 2023 #2 Nikupe link ya Telegram ? Kuna group la old school wale jamaa hakuna ngoma hawana, huwa wanachat hadi na Sugu mwenyewe
Nikupe link ya Telegram ? Kuna group la old school wale jamaa hakuna ngoma hawana, huwa wanachat hadi na Sugu mwenyewe
monde arabe JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 8,781 Reaction score 13,444 Jan 24, 2023 #3 Noma sana!
Quinton Canosa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 1,224 Reaction score 1,250 Jan 24, 2023 Thread starter #4 Basi Nenda said: Nikupe link ya Telegram ? Kuna group la old school wale jamaa hakuna ngoma hawana, huwa wanachat hadi na Sugu mwenyewe Click to expand... Itakuwa vyema
Basi Nenda said: Nikupe link ya Telegram ? Kuna group la old school wale jamaa hakuna ngoma hawana, huwa wanachat hadi na Sugu mwenyewe Click to expand... Itakuwa vyema
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 Jan 24, 2023 #5 Quinton Canosa said: Itakuwa vyema Click to expand... OLD BONGO FLEVA🎤🎧🎼📻 HILI NI KUNDI LA NYIMBO ZA ZAMANI ZA BONGO FLEVA TU!!! - NYIMBO ZA MIAKA HII,STORI,LINK AMBAZO HAZIHUSIANI NA MAUDHUI YA KUNDI HAZIHITAJIKI. -OMBA NYIMBO...WEKA NYIMBO...PIA MUADD RAFIKI NA JAMAA SIO MPAKA ADMIN. t.me
Quinton Canosa said: Itakuwa vyema Click to expand... OLD BONGO FLEVA🎤🎧🎼📻 HILI NI KUNDI LA NYIMBO ZA ZAMANI ZA BONGO FLEVA TU!!! - NYIMBO ZA MIAKA HII,STORI,LINK AMBAZO HAZIHUSIANI NA MAUDHUI YA KUNDI HAZIHITAJIKI. -OMBA NYIMBO...WEKA NYIMBO...PIA MUADD RAFIKI NA JAMAA SIO MPAKA ADMIN. t.me