Wapi nitapata asali?

Wapi nitapata asali?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Wadau nauliza wapi nitapata sehem inapouzwa asali ile mbichi, sio ile ya chupa za konyagi. Natanguliza shukrani zangu
 
Mkuu kwangu mimi ubichi wa asali maana yake ni kwamba ni ile ambayo ni halisi haijachanganywa na kitu chochote, suala la kuwa kwenye chupa ya konyangi hiki ni kifungashio tu haiiondolei ubichi au uhalisia wake. Naomba ufafanue kama suala ni kwamba hutaki kifungashio cha chupa ya konyagi.
 
kama una jamaa tabora Agiza huko
 
...Kwa anga hizi, ndugu KINGI, Preta atakusaidia kwa uhakika!... ana mahusiano ya mojakwa moja na maeneo ya tukio!

ha ha ha....wewe baada ya basidei ndio unatokezea eeh.....
 
Nenda pale makao makuu ya wizara ya Maliasili na Utalii ghorofa ya tatu, kuna wataalamu wa nyuki utapata asali safi yenye viwango unavyohitaji
 
Wadau nauliza wapi nitapata sehem inapouzwa asali ile mbichi, sio ile ya chupa za konyagi. Natanguliza shukrani zangu

Mkuu kwangu mimi ubichi wa asali maana yake ni kwamba ni ile ambayo ni halisi haijachanganywa na kitu chochote, suala la kuwa kwenye chupa ya konyangi hiki ni kifungashio tu haiiondolei ubichi au uhalisia wake. Naomba ufafanue kama suala ni kwamba hutaki kifungashio cha chupa ya konyagi.

kama una jamaa tabora Agiza huko

naweza kukusaidia....we ni-PM

Nenda pale makao makuu ya wizara ya Maliasili na Utalii ghorofa ya tatu, kuna wataalamu wa nyuki utapata asali safi yenye viwango unavyohitaji
dah! niliulizia hii kitu nikaona no response then nikawa kimya. leo ndio nimecheki huku nikaona responses zenyu. nazifanyia kazi
 
Back
Top Bottom