Asante. Nitajaribu binslum.Nenda mtaa wa Livingston kariakoo maduka yapo mengi ila leo jumapili mengi hayafunguliwi Kama vipi nenda kesho maduka mengi yatakuwa wazi pia unaweza kwenda lumumba kwa binslum Tyres company Wana battery pia
Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Atlas.Unataka battery yenye size ipi mm ninazo kampuni tatu tu ambazo ni spark MF, powerlast na atlas tu
Ipo N40 194,000
Nenda Ubungo Shekilango. Millenium park. Utapata baterry mpya, wanakupa warant ya mwaka mmoja.- Chloride exide
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamia kwenye Betti za sola, mm niliweka mwaka Jana aborder N26 naitumia hadi leo iko bomba,gari jino moja imewaka. Bei nayo ni kitonga.Wadau.
Naulizia maduka/ mtaa wenye maduka ambayo nitapata battery za magari ambazo ni genuine.
Kuwe na brands tofauti niweze kuwa na uchaguzi mpana.
Nipo Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari. Naomba mnijuze battery ya Exide chloride ya 45AH ina CCA ngapi? AsanteUnataka battery yenye size ipi mm ninazo kampuni tatu tu ambazo ni spark MF, powerlast na atlas tu
Nenda super doll mwembe chai au Nyerere road aina ya betri chukua varta hautajuta mkuu mie nina betri niliinunua tokea1/8/ 2018 mpaka sasa iko bomba n70
Battery ya sola ndio ikoje hio mkuu? πππHamia kwenye Betti za sola, mm niliweka mwaka Jana aborder N26 naitumia hadi leo iko bomba,gari jino moja imewaka. Bei nayo ni kitonga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimenunua tena nyingine mwezi uliopita N90 410,000/=Vart ndio kila kitu
Vipi ukiwasha A/C bila kuwasha gari itaendelea kudumu?Natumia N70 Maxx. Batt Gold, hii ni la Kikorea Genuine inadunda freshi tu toka mwezi wa 7 last year. Naskiliza redio hata nikizima gari bila wasiwasi nikiwasha ni jino moja.
Mara kibao naacha a/c on nikizima gari kwenye foleni kama inakuwa tightVipwi ukiwasha A/C bila kuwasha gari itaendelea kudumu?
Nimenunua tena nyingine mwezi uliopita N90 42,000/=
Yaani ni miaka mitatu hadi minne sina Habari ya kununua battery na ile ya 2018 bado inapiga mzigo vizuri kabisa