Wapi nitapata Battery za Gari Genuine?

Natumia N70 Maxx. Batt Gold, hii ni la Kikorea Genuine inadunda freshi tu toka mwezi wa 7 last year. Naskiliza redio hata nikizima gari bila wasiwasi nikiwasha ni jino moja.
Niliamini Chloride exide ndio bora duniani
 
Sio kwa hizi zinazotoka hapo Kunya or Nairoberi...Maybe upate iliokuja na gari toka Japan
Halafu wabongo hatujui matumizi ya betri ikishazingua Mara moja unatupa na kununua nyingine. Mm betri Chloride Exide N70 (dry) ilizingua Agosti 2020 nikaenda kulichaji Kwa fundi uswazi Tsh. 2,000 tu mpaka leo linapiga kazi Safi tu
 
Uliinunua lini?
 
Mimi nauza betry za korea zina warranty wa mwaka mmoja
Ns40 110000
Ns60 140000
N50 150000
N70 185000
N90 250000
0714360270
Mi ninalo N50 liko poa tu hadi leo, mwaka na zaidi na warranty lilikua nayo imeisha lakini.
 
Nilinunua Rhino,haijamaliza miezi sita,kuishney😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…