Wapi nitapata chuo cha Utalii Dar es Salaam?

Wapi nitapata chuo cha Utalii Dar es Salaam?

karanga mbichi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
269
Reaction score
223
Habari zenu wakuu,

Naomba kuuliza je,mtu aliefeli kidato cha nne anaweza kusomea kozi za utalii?na kozi zipi na kwa muda gani?na kwa hapa Dar vyuo hivyo viko wapi?

Asanteni
 
1..umefail kwa kiwango gan na umepata pass ngapi?
2..utaanza na certificate mwaka 1
3..kuna chuo cha utalii pale posta mtaa wa shaban robert karib kidgo na ifm...nenda utapat maelzo zaid
 
Habari zenu wakuu,

Naomba kuuliza je,mtu aliefeli kidato cha nne anaweza kusomea kozi za utalii?na kozi zipi na kwa muda gani?na kwa hapa Dar vyuo hivyo viko wapi?

Asanteni

National College of Tourism (NCT) | Tanzania
data=U4aSnIyhBFNIJ3A8fCzUmaVIwyWq6RtIfB4QKiGq_w,5NTNQOi_amMMuPYbb1MgeGXkS_giiziK20wxNicddd0PEsya1pFpEfQquhx0gt75xljtW16wOu2O85pEyu1dGtvr3iFAdmNtdgZFLUlllDcWtJ2Up0BbHc5tSfo1hnK-gkyr
 
Back
Top Bottom