karanga mbichi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 269
- 223
Tandika....bandari college
Habari zenu wakuu,
Naomba kuuliza je,mtu aliefeli kidato cha nne anaweza kusomea kozi za utalii?na kozi zipi na kwa muda gani?na kwa hapa Dar vyuo hivyo viko wapi?
Asanteni
Eti bandari college inafundisha kozi zip?
Unauliza au unashangaa...
Chuo kipo karibu na bandari college