Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 Jan 22, 2023 #1 Habari za usiku? Naomba kujua wajuzi wapi nitapata Church Trolley ya kununua kwa ajili ya shughuli za mazishi? Anayejua duka au sehemu naomba mawasiliano. Asante.
Habari za usiku? Naomba kujua wajuzi wapi nitapata Church Trolley ya kununua kwa ajili ya shughuli za mazishi? Anayejua duka au sehemu naomba mawasiliano. Asante.
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,203 Reaction score 28,789 Jan 22, 2023 #2 Kama dar nenda maeneo ya muhimbili utapata direction nzuri kama kwenye yale maduka hakuna
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 4,291 Reaction score 5,786 Jan 22, 2023 #3 Nenda ANUDHA LTD, Duka lao liko Kisutu, kati ya mitaa ya Libya na Jamhuri barabara ya Morogoro pembeni yake Exim Bank, mkabala na Mamboz Conner BBQ.
Nenda ANUDHA LTD, Duka lao liko Kisutu, kati ya mitaa ya Libya na Jamhuri barabara ya Morogoro pembeni yake Exim Bank, mkabala na Mamboz Conner BBQ.
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 Feb 8, 2023 Thread starter #4 GwaB said: Nenda ANUDHA LTD, Duka lao liko Kisutu, kati ya mitaa ya Libya na Jamhuri barabara ya Morogoro pembeni yake Exim Bank, mkabala na Mamboz Conner BBQ. Click to expand... Niwewasiliana nao lakini hawana hiyo kitu. Bado natafuta Church trolley.
GwaB said: Nenda ANUDHA LTD, Duka lao liko Kisutu, kati ya mitaa ya Libya na Jamhuri barabara ya Morogoro pembeni yake Exim Bank, mkabala na Mamboz Conner BBQ. Click to expand... Niwewasiliana nao lakini hawana hiyo kitu. Bado natafuta Church trolley.
T ThemiOne JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 265 Reaction score 342 Feb 8, 2023 #5 Tengeneza mkuu .. hiyo inatengenezrka kwa kiwango thabiti
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 4,291 Reaction score 5,786 Feb 8, 2023 #6 Ulongupanjala said: Niwewasiliana nao lakini hawana hiyo kitu. Bado natafuta Church trolley. Click to expand... Du!... Sikutegemea jibu hilo, hawa ndio mawakala waagizaji wa vifaa vya aina hiyo. Jaribu kwenye mashirika ya dini hasa katoliki, unaweza kupata ya mtumba.
Ulongupanjala said: Niwewasiliana nao lakini hawana hiyo kitu. Bado natafuta Church trolley. Click to expand... Du!... Sikutegemea jibu hilo, hawa ndio mawakala waagizaji wa vifaa vya aina hiyo. Jaribu kwenye mashirika ya dini hasa katoliki, unaweza kupata ya mtumba.