Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Nahitaji wale dagaa wa mafuta wale wanaokaangwa baada ya kuvuliwa sio wale mafuta wanaoanikwa kwanza juani
nahitaji kwa bei ya jumla mwenye nazo anicheki pm au mwenye connetion anisaidie zinapopatikana huko mwanza nahitaji bei halisi na sio bei za mtandaoni nitashukuru nikipata msaada
kama bado haujapa uje PM mkuu
PM ya nini kwani ni bangi?kama bado haujapa uje PM mkuu
Wapo insta mkuu wafate huko.Nahitaji wale dagaa wa mafuta wale wanaokaangwa baada ya kuvuliwa sio wale mafuta wanaoanikwa kwanza juani
nahitaji kwa bei ya jumla mwenye nazo anicheki pm au mwenye connetion anisaidie zinapopatikana huko mwanza nahitaji bei halisi na sio bei za mtandaoni nitashukuru nikipata msaada
Unajua wauzaji wa jumla ni ngumu kuwakuta mitandaoni ni wavuvi wao wenyewe mara nyingi hata simu za smart inaweza kukuta hawana nilishawahi kufanya biashara ya dagaa miaka ya nyuma kidogo hata namba zao nikapotezaWapo insta mkuu wafate huko.
PM ya nini kwani ni bangi?
Unauza kwa gunia au kwa sado
Yupo najua anauza jumla ndoo kwa ndoo, ukitaka jumla ongea nae tu akuletee mzigo.Unajua wauzaji wa jumla ni ngumu kuwakuta mitandaoni ni wavuvi wao wenyewe mara nyingi hata simu za smart inaweza kukuta hawana nilishawahi kufanya biashara ya dagaa miaka ya nyuma kidogo hata namba zao nikapoteza
Huwa nauza, sado elfu 20 ukichukua nyingi naweza kukupunguzia Hadi elfu 18 , karibu sanaNahitaji wale dagaa wa mafuta wale wanaokaangwa baada ya kuvuliwa sio wale mafuta wanaoanikwa kwanza juani
nahitaji kwa bei ya jumla mwenye nazo anicheki pm au mwenye connetion anisaidie zinapopatikana huko mwanza nahitaji bei halisi na sio bei za mtandaoni nitashukuru nikipata msaada