Wapi nitapata deodorant za FA kwa Morogoro?

Wapi nitapata deodorant za FA kwa Morogoro?

Mwanangikolo

Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
63
Reaction score
105
Hapa sinzungumzii bidhaa za yule msanii mwana FA la hasha bali ni za ile chapa ya FA, wanakuwa na deodorant nzuri sana. Mimi huwa napenda hasa ile imetengenezwa kwa watermelon.

Sasa nmejaribu kutafuta sana naona ni kama sasa hivi zimekuwa adimu madukani.

Msaada ni wapi nitapata, nipo Morogoro.
 
Back
Top Bottom