Wadau, habari zenu.
Msaada wenu tafadhali. Samahani, wapi nitapata deodorant za old spice? Nilikuwa nazipata kiurahisi sana kwenye supermarket ya TSN mikocheni ila walizitoa. Nilienda supermarket nyingine za Posta na Bamaga bila mafanikio. Nimeweka na mfano wa hizo deodorant kwenye picha. View attachment 502503
S.H Amon IPS buildingWadau, habari zenu.
Msaada wenu tafadhali. Samahani, wapi nitapata deodorant za old spice? Nilikuwa nazipata kiurahisi sana kwenye supermarket ya TSN mikocheni ila walizitoa. Nilienda supermarket nyingine za Posta na Bamaga bila mafanikio. Nimeweka na mfano wa hizo deodorant kwenye picha. View attachment 502503
Au american supermarketS.H Amon IPS building
Shukran sana wadau. Kama zali vile nimeweza ipata pale duka la Zurii.
Bei yake how muchAu american supermarket
Umepata kwa bei gani chief?Shukran sana wadau. Kama zali vile nimeweza ipata pale duka la Zurii.