Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
Mimi nataka practical kabisaaa sio theory!Huna haja ya kulipia. Ipo thread discussion ni kubwa tu.
Nenda ilulaMimi nataka practical kabisaaa sio theory!
Hakuna kilimo cha mtandaoni
UnafkiMMMMMMH
Ahsante mkuuTafuta bwana shamba mmoja akupe darasa
Sawa Nashukuru sanaKuna kampuni inaitwa Epinav agro & farmers group. Ni msaada mkubwa sana. Wanakuja mpaka shambani bila gharama na wana kundi lao LA wasapu. Tuma namba inbox wakuunge au watafute fb.
Mkuu mm bado sina shamba, nataka kujifunza tu.Kuna kampuni inaitwa Epinav agro & farmers group. Ni msaada mkubwa sana. Wanakuja mpaka shambani bila gharama na wana kundi lao LA wasapu. Tuma namba inbox wakuunge au watafute fb.
IringaHabari JF,
Tupo mbioni kutafuta utajiri, utajiri upo shambani, alisikika bilionea mmoja akisema.
Wakuu, nina malengo baada ya kuhitimu Shahada Yangu ya Jinsia na Maendeleo (Bachelor Degree in gender and development).
Nataka kuingia moja kwa moja kwenye kilimo cha nyanya kibiashara.
Sasa ni wapi nitapata elimu sahihi ya kilimo hiki, kuanzia masuala ya udongo, kutunza miche, aina zote za madawa na kazi zake, na taratibu za mavuno.
Kifupi nataka kwanza elimu ya nyanya, nipo tayari kulipia gharama yoyote!
Anaejua wapi wanatoa elimu hii naomba anisaidie.
Elimu utaipata mule mule kundini mkuu. Just subscribe utanishukuru tuu. Maswali yako yote yatajibiwa na kuna wataalamu na wakulima piaMkuu mm bado sina shamba, nataka kujifunza tu.
Baaadae niingie shamba mm
Kilimo cha nyanya kisasa.Elimu ya kilimo cha kisasa au ya kilimo cha nyanya za kisssa?
Anhaa nashukuruElimu utaipata mule mule kundini mkuu. Just subscribe utanishukuru tuu. Maswali yako yote yatajibiwa na kuna wataalamu na wakulima pia
Sasa wewe Dr wa Kaliua ulikuwa na haja gani ya kusomea Jinsia nk wakt una mpango wa kuwa mlima nyanya? Kwa nn hukusomea hata certificate ya kilimo?Habari JF,