Asante kaka, ingawa lengo langu si kutafuta unafuu wa bei bali ni kupunguza usumbufu wa kutafuta kitu bila kujua nitakipata wapi maana jitihada zangu za mwanzo sijafanikiwa. Hivyo natamani sana kufapata duka ambalo naweza kuconfirm kabla ya kwenda kununua.Jaribu kupita Machinga complex, ukipata pia unapata nafuu ya bei ukilinganisha na dukani.
Kupata hiyo part number yako itakua ni mtiti, kwa ushauri tuTatizo ni muda utakao tumika kuipata, hii ni PC ninayoitumia kwa shughuli zangu hivyo inakua ngumu kusubir karibu siku 28 kwa ajili ya fan tu. In the worst case nitafanya hivyo.
Asante kaka, nimefanikiwa kumpata mtu kanirekebishia, in fact kanipa ushauri kama wako, sikulifahamu hili before ingawa kuna mlio strange wa fan. Nitaitumia hii kwa siku kadhaa kwani nimeamua kuagiza mpya aliexpress ambayo nitaipata mwezi huu.kupata iyo part number yako itakua ni mtiti, kwa ushauri tu
GPU fans zinakua ni 'standard' kwa ndani, namaanisha zinatumia 'motor' za aina moja (type,Volts,Watts), na 4 pins labelling ni sawa
tofauti ni enclosure
nenda pale Machinga huwezikosa GPU fan 'yoyote', then unahamisha motor
Uwezekano mkubwa wa kupata hiyo feni upo. Nenda Savei, opposite na Mlimani City, nyuma ya DDC. Wapo jamaa huwa wana repair Laptops na ukifika pale wana lundo la laptop zinaweza kufika hata 200 ambazo zote hizo wamezitunza kwa ajili ya spare tu, hawaziuzi.Nina laptop ya hp Envy x360, Fan yake ya GPU imekufa, nimejaribu kupiga simu kwenye maduka tofauti hapa Tanzania bila mafanikio. Nimejifunza kuwa maduka yote niliyopiga hayauzi spare za laptop kama yanavyojitangaza. Naomba msaada kwa mtu yeyote anaeweza nipa mwongozo wapi nitapata. Ukinisaidia mawasiliano ya simu nitashukuru zaidi.
Specification zangu
15-DS
Spare no: L53542-001
Ingawa hata kama spare no ni tofuuti ikiwa 15DS itanifaa.