Wapi nitapata fundi mzuri wa giabox?

Ushauri mzuri tafuta giaboksi nyengine tu.... Usiichokonoe ulokuwa nayo
 
kinondoni studio ,kuna fundi mzuri sana na bei zake reasonable.ukiitaji namba yake nichek pm
 
Kuna fundi moja anaitwa KIBIKI yeye ni fundi wa mafundi wa gearbox anakwenda gereji nyingi mpaka mikoani kutengeneza gearbox kwa mafundi gearbox.
 
Mkuu kama hujampata..nenda Temeke mtaa wa Njinjo ulizia fundi Dani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…