Wapi nitapata haya mapanga

Kulupango

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
288
Reaction score
535
Mapanga marefu yenye makali pande zote, yanahifadhiwa kwenye pochi lake

nenda kwenye maduka wanao husika na kumremba bwana harusi

Kwenye harusi nyingi za kiislamu hususani wale wenye ukwasi nimewaona mara nyingi wakitumia hayo mazuna
 
Mi najua zinaitwa sime au sword... Kuna ambazo nilizioana dodoma ingawa design sio hiyo na pochi yake ipo kama kirungu, singida zipo pia.
 
Nami Nahitaji Niwe Nalo Moja
Itapendeza Tujue Bei Na Sehemu
 
nenda kwenye maduka wanao husika na kumremba bwana harusi

Kwenye harusi nyingi za kiislamu hususani wale wenye ukwasi nimewaona mara nyingi wakitumia hayo mazuna
Ulizoona Wewe ni jambia na si hayo mapanga
 
nenda kwenye maduka wanao husika na kumremba bwana harusi

Kwenye harusi nyingi za kiislamu hususani wale wenye ukwasi nimewaona mara nyingi wakitumia hayo mazuna
Hapana, zile za kwenye harusi huitwa Jambia (dagger), ni vidogo. Mimi natafuta mapanga hayo marefu
 
Hilo Ndiyo Jambia Sasa
Jeshini Wanasema Kitara

Yaani Zile Paredi Utasikia Kitara Harani Weka!!
 
Jambia ni visu vidogo huwekwa kiunoni kama hichi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…