Wapi nitapata haya mapanga

Kuna tamthilia inaonyeshwa Azam two inaitwa Ertugrul, inaelezea utawala wa Ottoman empire dhidi ya warumi na wayunani ndio wanapigana kwamapanga ya namna hiyo

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Sawa, kwa hiyo wao Azam Two wanayauza au ni tamthilia tu
 
Stand kuu ya mabasi dodoma, yapo haya madude
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…