mikko Member Joined Feb 23, 2016 Posts 12 Reaction score 2 May 10, 2016 #1 Habari wana JF Naombeni msaada wa upatikanaji wa brokers wa hisa za tbl na swisport kwa hapa dar es salaam
Habari wana JF Naombeni msaada wa upatikanaji wa brokers wa hisa za tbl na swisport kwa hapa dar es salaam
GREENER JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 641 Reaction score 2,131 Jun 7, 2016 #2 mikko said: Habari wana JF Naombeni msaada wa upatikanaji wa brokers wa hisa za tbl na swisport kwa hapa dar es salaam Click to expand... VERTEXINT INTERNATIONAL SECURITIES, Wapo jingo la ubaloz wa Zambia mtaa wa ohio posta
mikko said: Habari wana JF Naombeni msaada wa upatikanaji wa brokers wa hisa za tbl na swisport kwa hapa dar es salaam Click to expand... VERTEXINT INTERNATIONAL SECURITIES, Wapo jingo la ubaloz wa Zambia mtaa wa ohio posta
Davion Delmonte Jr. JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 2,149 Reaction score 1,718 Jun 8, 2016 #3 Hakuna broker maalum wa hisa za TBL na SWISSPORT mkuu. Ma broker wote unaweza kununua hizo hisa ili mradi tu kama sokoni zipo. Yaani i mean kama kuna volume ipo sokoni kwa jili ya kuuzwa unaweza kununua kwa broker yoyote. mikko
Hakuna broker maalum wa hisa za TBL na SWISSPORT mkuu. Ma broker wote unaweza kununua hizo hisa ili mradi tu kama sokoni zipo. Yaani i mean kama kuna volume ipo sokoni kwa jili ya kuuzwa unaweza kununua kwa broker yoyote. mikko
Z Zamazamani JF-Expert Member Joined Jun 13, 2008 Posts 1,869 Reaction score 787 Jun 8, 2016 #4 njoo posta