Natania
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 262
- 217
Tafadhali nahitaji maelezo ama contacts za daktari anayefanya shughuli za meno bandia kwa Dar ama Morogoro. Tafadhali kama huna jibu basi waachie nafasi wanaojua waandike! Itanisaidia zaidi kama nikipata jina na contacts, Mfano badala ya kuniambia nenda mhimbili ama mwananyamala -andika kamwone daktari ,,,,,, wa mhimbili. Uchumi wangu siyo ule wa kumudu jino moja linalouzwa 50,000. Natafuta sehemu wanayotoa huduma ya meno kwa bei nafuu lakini wenye uzoefu katika fani hiyo. waweza kuniPM vilevile. natanguliza shukrani