Wapi nitapata kengele (Bell)

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
54,894
Reaction score
64,043
Inahitajika( bell) kengele kubwa hasa hasa kama zile zinazotumiwa na makanisa hasa makongwe.

Anayejua upatikanaje wake hapa tanzania anijuze maana ina matumizi mengi. Hata ikiwa ni nje ya nchi tafadhali nijuze ni kengele zinazotengenezwa nchi gani ni imara, madhubuti na zina mlio mkali.

Hapo kwenye mlio nadhani wataalam watanijuza nikiipata niifunge urefu gani kwenda juu (yaani mnara nikaoujenga kuweka kengele)


Ili nitakapokuwa naipiga yale mapigo ngo ~ngo~ngo!!! Yasikike eneo kubwa sana mji, picture ya chuma kama hili.


 
Hizo zinatengenezwa Kwa order
Lazima utolee maelezo ya kutosha unaenda kuifanyia nini Vinginevyo hupewi

Zinatengenezwa Italy Vatican city na Germany only

Ukiagiza Leo utapokea baada ya mwaka mmoja
Muwekee website za manufacturers hao wa Vatcan na German kama unawafaham mkuu
 
Hizo zinatengenezwa Kwa order
Lazima utolee maelezo ya kutosha unaenda kuifanyia nini Vinginevyo hupewi

Zinatengenezwa Italy Vatican city na Germany only

Ukiagiza Leo utapokea baada ya mwaka mmoja
Mkuu
Kwanza Shukrani Sana Kwa Ufafanuzi Mzuri Kuhusu Upatikanaji Wa Kengele, Sikuwa Najaua Huo Utaratibu
Kwanza Natakiwa Kutoa Order Lakini Na Matumizi Yangu.

Nchi Mbili Ulizotaja Ndiyo Pekee Zinatengeza Kengele Kwa Dunia Nzima, Bila Shaka Ni Hatua Nyingi Sana
 
Karakana za SIDO watashindwaje kulitengeneza hilo Jidude? Si ni madini ya shaba na chuma tu!
Mkuuu
Sina Nia Mbaya Ila Sido Sidhani Kama Wanaweza Kutengeneza Hiyo Kengele, Ile Ukiiona Bila Shaka Hutaweza Kusema Hivyo

Kuna Maeneo Mengi Hasa Hasa Kwenye Makanisa Makongwe Hizo Kengele Ni Za Miaka Mingi Chuma Kitupu (Chuma Cha Pua) Yaani Kutu Haiwezi Kula

Sido Wanaweza Kutengeneza Ila Kisiwe Chuma Cha Pua
Ukipata Wasaa Tembeeni Kwenye Makanisa Makongwe Uliza Hizo Kengele Ni Za Miaka Gani Utaambiwa
 
Bronze church bells unaweza kuzipata eBay kwa bei ya kuanzia Β£200-5000
Shukrani Sana Mkuu
Umetoa Uelekeo Mzuri Sana Baadhi Ya Wachangiaji Wengi Watanufaika Na Mchango Wako
Members Wengi Wametema Madini Adimu, wax Kasema Neno Hapo Nikamuelewa Vizuri Sana
 
Na kwenye satanic temple huwa zipo.. ndio tunazo tumia πŸ˜€πŸ˜€.. kwenyr ibada zetu
 
Mkuu usijekuwa unataka kwenda "kuiazima" kanisa flani πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
HaaπŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„
Awali Nilifikiria Zinapitikana Sehemu Yoyote Hasa Hasa Tanzania, Leo Ndiyo Nimejua Kuwa Zile Kengele Za Kanisani Zina Siri Nzito Sana.



Ni Rahisi Kununua Gari Ila Siyo Kengele, Maana Unatakiwa Utoe Sababu Ya Kuinunua Halafu Muuzaji Aridhike Ndiyo Order Yako Ishughulikiwe Kwa Mwaka Mmoja.

Kengele Kengele Bila Shaka Ina Mengi Sana πŸ˜€πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒ
 
Muulize mtoa mada anaitaka ya nini? anataka kufungua kanisa au ndio hizo siri unazozisema 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…