Wapi nitapata kengele (Bell)

Uwepo Wa Mungu
 
Uwepo Wa Mungu
Spirit zikisha sikia hiyo kitu hukaa tayari tayari kwa kazi.. na malango hufunga, evil,demons,falleng angel huanza kupanda na kutafuta tafuta wa kummeza
 
Tumia rim ya gari au taluma la reli kama tulivyokua tunafanya shule.
Trust me, it can meet the purpose.
 
Muulize mtoa mada anaitaka ya nini? anataka kufungua kanisa au ndio hizo siri unazozisema 😎
Mkuu
Ni Kwa Matumizi Mbalimbali
Hapo Juu Members Wamesema Huwezi Kuinunua Mpaka Sababu Ya Uhitaji Ijitosheleze Pia Ni Kwa Order.




Hakuna Namna Itabidi Utaratibu Ufuatwe
Nimeona Mchango Nchi Zinazotengeneza Kengele Ni Mbili Tu, Germany Na Italy Vatican City
 
Ukipata naomba kaz ya kumfunga paka kengele
Tupo Uchumi Wa Kati
Kwa Haraka Sana Maombi Yako Yatazingatiwa
Muhimu Sana Tupate Mzigo Huo πŸ˜€πŸ˜
 

Kiongozi huku nilipo wamefunga spika maalum wanatumia USB, mlio wake ni sawasawa na hizo kengele. .
 
Kiongozi huku nilipo wamefunga spika maalum wanatumia USB, mlio wake ni sawasawa na hizo kengele. .
Mkuu
Upo Wapi?
Ingawa Technology Nayo Ni Shida Usemalo Lipo
Kwahiyo Unanishauri Niachane Na Kengele?
Nakukumbusha Kengele Haina Mambo Ya Umeme Kukatika
 
Niko Hapa Bunda Mjini Muda Huu Alfajiri Naisikia Kengele Ikigongwa Taratibu Na Sauti Ikipaa Umbali Mrefu
Kengele Hii Sijui Inapigwa Kanisa Gani Maana Hapa Siyo Mwenyeji Sana. Chuma Cha Pua Lazima Nikinunue
 
Huo mstari wa mwisho huo,,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hizo zinatengenezwa Kwa order
Lazima utolee maelezo ya kutosha unaenda kuifanyia nini Vinginevyo hupewi

Zinatengenezwa Italy Vatican city na Germany only

Ukiagiza Leo utapokea baada ya mwaka mmoja
 
Huo mstari wa mwisho huo,,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kuagiza Gari Ni Rahisi, Hata Contener La Bidhaa Kutoka China, Siyo Hiyo Bell Ambayo Inachukua Mwaka Mmoja πŸ€”πŸ€”πŸ˜Ά
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…