Wapi nitapata mabati ya bei rahisi migongo mipana?

BrownRange

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
927
Reaction score
1,191
Wakuu habari

Wapi nitapata mabati ya bei rahisi yale ya migongo mipana kwa mkoa wa Dar es Salaam.

Bei hizo tofauti tofauti ni kiasi gani kwa kila gauge
 
Mabati nadhan sio kitu cha kununua fake.

Nyumba zetu hizi za kujenga miaka mitano ili zikamilike, unaweza ukawa ndio unaingia ndan ya nyumba mabati yashapauka.

Anyway, nenda Buguruni pale ufanye research. Kuna kampun zaid ya 10 za mabati.

Ila mabati bora ni Alaf, Sunshare na Ando.
 
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Weka picha
 
Nenda hapo buguruni karibu na benki ya kcb uliza kiwanda Cha dragoni watakupa na bei.
 
BrownRange asante sana mkuu kwa kuanzisha uzi na mimi nipo kwenye hiyo hatua,ngoja tupate muongozo kutoka kwa wadau wa JF
 
Kwa ubora Ikitoka alafu inakuja dragon nenda kiwandani acha kuulizia mtaani.
.
Nenda alafu Kisha toka hapo nenda dragon
 
Mabati nadhan sio kitu cha kununua fake.

Nyumba zetu hizi za kujenga miaka mitano ili zikamilike, unaweza ukawa ndio unaingia ndan ya nyumba mabati yashapauka.

Anyway, nenda Buguruni pale ufanye research. Kuna kampun zaid ya 10 za mabati.

Ila mabati bora ni Alaf, Sunshare na Ando.
Hakuna mabati bora ya bei rahisi.
 
Bro ukihtmsha niambie umeamua kinunua kampun gan
 
Back
Top Bottom