BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Mabati nadhan sio kitu cha kununua fake.
Nyumba zetu hizi za kujenga miaka mitano ili zikamilike, unaweza ukawa ndio unaingia ndan ya nyumba mabati yashapauka.
Anyway, nenda Buguruni pale ufanye research. Kuna kampun zaid ya 10 za mabati.
Ila mabati bora ni Alaf, Sunshare na Ando.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Bei gani, na je guage 30 bei ganiNunua mabati ya dragon gauge 28 utanishukuru
Nineulizia mtaani nimeambiwa sio Bora sana, vp ni kweliNenda hapo buguruni karibu na benki ya kcb uliza kiwanda Cha dragoni watakupa na bei.
Bei ganiWewe jipange bei zimepanda kinyama
Hakuna mabati bora ya bei rahisi.Mabati nadhan sio kitu cha kununua fake.
Nyumba zetu hizi za kujenga miaka mitano ili zikamilike, unaweza ukawa ndio unaingia ndan ya nyumba mabati yashapauka.
Anyway, nenda Buguruni pale ufanye research. Kuna kampun zaid ya 10 za mabati.
Ila mabati bora ni Alaf, Sunshare na Ando.
Nineulizia mtaani nimeambiwa sio Bora sana, vp ni kweli