Wapi nitapata Mabwawa kwa ajili ya fishing na camping kwa Dar es Salaam?

Wapi nitapata Mabwawa kwa ajili ya fishing na camping kwa Dar es Salaam?

Lemaitre

Senior Member
Joined
Aug 25, 2020
Posts
123
Reaction score
168
Wakuu bila shaka ni wazima kabisa.

Nilikuwa napenda kuuliza wapi naweza kupata sehemu ina bwawa or mto ambao naweza fanya fishing adventure na camping kwa Dar es salaam?

Natanguliza shukrani.
4FC6EE14-600B-4977-A36C-224170D806B6.jpeg
EC065852-E129-4039-B33A-18C2EFE3B39E.jpeg
553D66D3-3328-48B2-8EF6-941088F4DDD6.jpeg
 
Back
Top Bottom