Wapi nitapata mafunzo ya intelijensia?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wadau ni chuo gan hapa tanzania kinafundsha masomo ya mambo ya intelijensia ili nami nijiunge?
 
Sijawahi Kusikia chuo kinachofundisha ujasusi isipokuwa ktk majeshi yetu.
 
Labda watafute private detectives kama wapo bongo.
 
Inteligence haifundishwi. Kinachofundishwa kingine kabisa, inategemea na "how intelligent you are" kuelewa.

Kwanza kabisa, anza kwa kusoma kila unachokutana nacho. Usichaguwe cha kusoma. Anzia hapo.
 
Kwa hapa TZ ni mafunzo yanapatikana ktk vyombo vya dola TISS,JWTZ na Polisi,hivyo sharti uwe mmoja wao kupata mafunzo hayo.
Kwa wenzetu kama USA hiyo ni field of study kama nyinginezo unaweza kusoma katika universities kadri ya uwezo wako
 
labda watafute private detectives kama wapo bongo.

dont wes your precious time wapongo watakufundisha kuhesabu vizibo vya bia tu labda kidogo severence ya kikoloni na kupeleka umbeya, kabla gaddafi hajaondoka bengazi walikuwa wanatoa kozi , pia ulinzia southafriica jamaa wa boss, wana toa somo, babu kubwa jamaa wa mosad hawa ni jews,
 
Hakuna chuo kwa tz labda usome via internet searchblazer.com anzia hapo kuna vitu vya maana!
 
Inteligence haifundishwi. Kinachofundishwa kingine kabisa, inategemea na "how intelligent you are" kuelewa.

Kwanza kabisa, anza kwa kusoma kila unachokutana nacho. Usichaguwe cha kusoma. Anzia hapo.

Imetulia FF!
 
Mh, usije ukadhani hiyo ndo njia sahihi ya kuwaadabisha wabaya wako
kwa kwenda kusoma intelijensia. Hata hivyo mi' napita tu sitaki ushahidi...
 
Nimewasoma japo kidogo mosad lakini sijapata details za kutosha kuwahusu. Mwenye nazo zaidi plz
 
Inteligence haifundishwi. Kinachofundishwa kingine kabisa, inategemea na "how intelligent you are" kuelewa.

Kwanza kabisa, anza kwa kusoma kila unachokutana nacho. Usichaguwe cha kusoma. Anzia hapo.

Huo ni ukweli kabisa FF. Kuna kitabu cha field officer wa Mosad who defected kinaitwa By Way of Deception. Its a good reference book
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…