Wadau ni chuo gan hapa tanzania kinafundsha masomo ya mambo ya intelijensia ili nami nijiunge?
amemuelewa sana tu na hilo jibu lina maana kubwa sana...Nina wasiwasi kama umemuelewa muanzisha uzi....
Huo ni ukweli kabisa FF. Kuna kitabu cha field officer wa Mosad who defected kinaitwa By Way of Deception. Its a good reference book
Wadau ni chuo gan hapa tanzania kinafundsha masomo ya mambo ya intelijensia ili nami nijiunge?
nenda. makumbusho
Inteligence haifundishwi. Kinachofundishwa kingine kabisa, inategemea na "how intelligent you are" kuelewa.
Kwanza kabisa, anza kwa kusoma kila unachokutana nacho. Usichaguwe cha kusoma. Anzia hapo.
you are 5% right....Kwa uelewa wangu hauombi bali wao ndio wanakutafuta kulingana na uelewa. muonekano na mahusiano na jamii. kama ni mnene sana hauwezi kwenda ama ukiwa na umbo linalojulikana kirahisi. Unaweza kuomba kupitia kwa mtu unayemfahamu lakini ni lazima wakufuatilie nyendo zako kwa mda wa kutosha. Ukipata nafasi chuo kiko bagamoyo na zanzibar nadhani mafunzo ya awali ni mwaka mmoja lakini ndugu zako hawatajua uko wapi! ukitoka kazi za mwanzo ni kupandikizwa kulingana na ujuzi ulio nao na kama uelewa wako ni mpana zaidi ndipo unaongezewa ujuzi zaidi. kama una ujasiri nenda pale kwenye hospitali yao kijitonyama unaweza pata rafiki wa kumuuliza.
Jamii ForumsWadau ni chuo gan hapa tanzania kinafundsha masomo ya mambo ya intelijensia ili nami nijiunge?
Lugha tu tatizoMy friend to get this training your asking is not so easy this is because in the begainig those people where serected in the serect ways to join in these organ like tiss in tz and cia and fbi in us masada in israel and other countries and other wise kaka be connected to jwtz and polisi also tiss.
My friend to get this training your asking is not so easy this is because in the begainig those people where serected in the serect ways to join in these organ like tiss in tz and cia and fbi in us masada in israel and other countries and other wise kaka be connected to jwtz and polisi also tiss.