Mimi Naturals Member Joined Nov 19, 2017 Posts 9 Reaction score 1 Nov 24, 2017 #1 Habarini, Nilikuwa Naomba msaada kwa mtu yoyote mwenye ujuzi au taarifa zinazoweza nisaidia kwa kupata mafuta ya nywele kama olive oil, Castor oil, jojoba kwa bei ya jumla.. Nataka kufungua biashara yangu
Habarini, Nilikuwa Naomba msaada kwa mtu yoyote mwenye ujuzi au taarifa zinazoweza nisaidia kwa kupata mafuta ya nywele kama olive oil, Castor oil, jojoba kwa bei ya jumla.. Nataka kufungua biashara yangu
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,879 Reaction score 41,971 Nov 24, 2017 #2 ngoj waje