Ikitokea umeamua kununua aina hii tafuta isiokuwa na mataili, yenye mataili inakwama sana kwenye tope, lkn ili uwe na mashine hii na ufanye kazi kwa uhuru ni vema ukawa na trekta kwanza maana hii mashine haina spidi huwa inabebwa kutoka shamba moja hadi jingineHiyo Kubota DC 60 ni combine sio mashine ndogo. Bei yake Ina range kati ya milioni 60 - 80. Hicho kimashine Cha chini usinunue utachezea mpunga tu. Kanafaa Kwa eneo dogo Sana na huvuna mpunga ukiwa haujakauka vizuri. Jikaze uchukue huo mtambo mkubwa bhaaas
Ni kweli lazima kuwa na trekta au gari la kuhamishia iwapo mashamba yapo mbali mbali hasa ya vibarua.Ikitokea umeamua kununua aina hii tafuta isiokuwa na mataili, yenye mataili inakwama sana kwenye tope, lkn ili uwe na mashine hii na ufanye kazi kwa uhuru ni vema ukawa na trekta kwanza maana hii mashine haina spidi huwa inabebwa kutoka shamba moja hadi jingine
Asante kwa ushauri,hio milioni 60 ni bei ya mpya?kwa used ni bei gani kama unajua?Hiyo Kubota DC 60 ni combine sio mashine ndogo. Bei yake Ina range kati ya milioni 60 - 80. Hicho kimashine Cha chini usinunue utachezea mpunga tu. Kanafaa Kwa eneo dogo Sana na huvuna mpunga ukiwa haujakauka vizuri. Jikaze uchukue huo mtambo mkubwa bhaaas
Unaposema aina hii unazungumzia ipi hasa,maana jamaa kataja mashine mbili hapo?Ikitokea umeamua kununua aina hii tafuta isiokuwa na mataili, yenye mataili inakwama sana kwenye tope, lkn ili uwe na mashine hii na ufanye kazi kwa uhuru ni vema ukawa na trekta kwanza maana hii mashine haina spidi huwa inabebwa kutoka shamba moja hadi jingine
kilimo unampa mtu hongera, aiseeMkuu mi nakupa hongera, hongera sana kwa kilimo.
Usikate tamaa mkuu,kwenye biashara TRA nao wanataka watajirikie kwa mfanyabiasharakilimo unampa mtu hongera, aisee
mara mvua imekosekana, mara mafuriko shamba limeenda na maji
vibarua wanataka hela nyingi
hatari sana
nalima ya chakula tu siyo kibiashara
✅Wakuu Salaam,
Kwa wanaojua ni wapi naweza kupata mashine ya kuvuna mpunga kwa hapa Tanzania kwa maana ya kununua au pia kuagiza nje ya nchi pamoja na bei yake?
Mashine ninayohitaji ni ndogo sio zile kubwa(Combine harvester),na itakuwa vizuri kama nitajua bei ya kwa maana ya iliyotumika au mpya.
Kwa yoyote mwenye ufahamu naomba anijulishe pia na uwezo wake wa kuvuna mpunga kwa saa.
Nimeambatanisha na picha kutoka mitandaoni ila zisikufunge kutoa ushauri.
Ahsante.
View attachment 2652560View attachment 2652562View attachment 2652563