Wapi nitapata mashine za kufyatulia matofali za umeme

Bingili

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
310
Reaction score
799
Wakuu kwema?

Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuuza matofali ya block.

Kwa mwenye uzoefu ni maahine gani nzuri na zinapatikana wapi na bei zipoje?

Nawasilisha
 
Nakushauri uende ofisi za SIDO makao makuu hutajutia mkuu, utapata ufafanuzi wa aina mbalimbali za mashine.
 
Nenda SIDO nadhani ndio wanadeal nazo hizi. Na JKT nadhani wanazo. Ila inakuwa seti. Kuna ile ya kumix halafu na ile block maker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…