Assalam alaykum viongozi
Nahitaji kupata uelewa kuhusu biashara ya kutengeneza madaftari, counter books na yale ya kawaida. pls yeyote mwenye uelewa kuhusu biashara hii njoo unipe tips. Pia materials yake yanapopatikana. Namaanisha karatasi , covers zake na vitu kama hivyo.
Ukweli ni kwamba nimeiona hii ni fursa so plsssss