Mzee upo mlimba ?Karibu Jimbo la mlimba-mbingu
Malinyi kilo kusafirisha sh 300...lakini pia hakuna mashine ya ku grade.. Bora ifakaraMtimbira/malinyi
Jimbo hilo... Nipo karibu na hiyo kata ya mlimbaMzee upo mlimba ?
Guniashilingi ngapi kwa sasa?Njoo Mkindo Morogoro
Bei zimekaa je hapo Kyela?Kama bado unatafuta nunua apa Kyela usafiri uhakika Kwa bei nafuu
Mkuu vp? Mchele upo? Bei shilingi ngapi nichek 0747464239.Nuko serious nataka kufanya hiyo biashara.Karibu Jimbo la Mlimba - Mbingu