MmasaiHalisi Senior Member Joined Jan 15, 2009 Posts 192 Reaction score 23 Mar 7, 2014 #1 Napenda kufahamu ni wapi hapa dar nitapata miche ya mipapai ya kisasa,ile inayochukua miezi 6 pia napenda kujua changamoto kwenye hiki kilimo cha mapapai
Napenda kufahamu ni wapi hapa dar nitapata miche ya mipapai ya kisasa,ile inayochukua miezi 6 pia napenda kujua changamoto kwenye hiki kilimo cha mapapai