M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,266 Reaction score 3,698 Apr 4, 2020 #1 Wadau nahitaji msaada wenu wapi nitapata mifuko ya sandarusi kwa bei ya jumla Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau nahitaji msaada wenu wapi nitapata mifuko ya sandarusi kwa bei ya jumla Sent using Jamii Forums mobile app
T TEMBO WANGU JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 930 Reaction score 1,290 Apr 4, 2020 #2 unaitaji mzigo kiasi ganiii, tunaweza kukufanyia dili ukapata kutoka kiwandani kabisa, ila wanauza kwa ballo.
unaitaji mzigo kiasi ganiii, tunaweza kukufanyia dili ukapata kutoka kiwandani kabisa, ila wanauza kwa ballo.
M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,266 Reaction score 3,698 Apr 5, 2020 Thread starter #3 TEMBO WANGU said: unaitaji mzigo kiasi ganiii, tunaweza kukufanyia dili ukapata kutoka kiwandani kabisa, ila wanauza kwa ballo. Click to expand... Nahitaji kwa ballo zima Sent using Jamii Forums mobile app
TEMBO WANGU said: unaitaji mzigo kiasi ganiii, tunaweza kukufanyia dili ukapata kutoka kiwandani kabisa, ila wanauza kwa ballo. Click to expand... Nahitaji kwa ballo zima Sent using Jamii Forums mobile app
mkulu senkondo JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 1,862 Reaction score 3,574 Apr 5, 2020 #4 Na Mimi naweka kambi hapa kusubiri majibu ya wapi mzigo unapatikana na bei zake. Sent using Jamii Forums mobile app
Na Mimi naweka kambi hapa kusubiri majibu ya wapi mzigo unapatikana na bei zake. Sent using Jamii Forums mobile app
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Apr 5, 2020 #5 Uko wapi? Hiyo mifuko kwa Dsm inapatikana PEMBA Kipande Street! Bei ni kati ya 600-800! Ila wale wauzaji KAMONGO sana. Sema nae mpk mwisho! Sent using Jamii Forums mobile app
Uko wapi? Hiyo mifuko kwa Dsm inapatikana PEMBA Kipande Street! Bei ni kati ya 600-800! Ila wale wauzaji KAMONGO sana. Sema nae mpk mwisho! Sent using Jamii Forums mobile app